Na Barnabas Kisengi , Dodoma Serikali imeahidi kufanya Uwekezaji Kitaifa katika lishe nchini kama sehemu ya mapambano dhidi ya utapiamlo kuanzia ngazi ya Kaya hadi Taifa kuhakikisha jamii inakuwa salama na kushiriki katika shughuhuli za uzalishaji. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu wakati wa kikao kazi
READ MOREParis,Ufaransa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imekubali kutoa msaada wa dola za Kimarekeni milioni 15 sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 34.5 kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma za afya ya Uzazi ,Mama na Mtoto kwa kipindi cha miaka mitatu. Hayo yamebainishwa katika mazungumzo yao baina
READ MORE