In Habari , Kitaifa July 10, 2023 216 Views Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua kitabu cha Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua kitabu cha Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 10 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajab Mabele wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) katika uwanja wa Jamhuri Dodoma Julai 10, 2023.

Habari , Kitaifa April 25, 2024
Bungeni , Habari April 25, 2024
Habari , Kitaifa April 25, 2024
Habari , Kitaifa April 25, 2024
Bungeni , Habari April 24, 2024
Translate »