- Habari, KIJAMII
- February 13, 2022
Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuhamasishana juu ya kupinga matendo maovu nchini. Wito huo umetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alipojumuika na wanamazoezi wa Mkoa wa Kusini Pemba katika mazoezi ya yaliyoanzia Chakechake Benki na kumalizia Uwanja wa Gombani. Amesema vikundi hivyo vina ushawishi mkubwa katika jamii kwa kuwafikia
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla amewataka wananchi kulinda miundombinu inayojengwa na Serikali ili iweze kudumu kwa muda mrefu . Mhe. Hemed ameyasema hayo wakati akikamilisha ziara ya Mikoa mitano ya Zanzibar ya kukagua Miradi ya maendeleo inayojengwa na Serikali kwa fedha za Mkopo wa kukabiliana na athari za ugonjwa Uviko
READ MORE- Habari, Kitaifa
- February 11, 2022
READ MORE