Rais Samia anashiriki katika Mkutano wa OneOceanSummit .

Rais Samia anashiriki katika Mkutano wa OneOceanSummit .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioalikwa na mwenyeji wao Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, mjini Brest katika mkutano unaojadili Raslimali Bahari Duniani leo tarehe 11 Februari, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa

May be an image of 2 people, people standing and indoor
May be an image of 11 people, people standing and text that says 'z SUMMIT UΣ FRANCE22 THE ONE FORTHE THE OCEAN PLANET SUMMIT 9,10.1 FEBRUARY 2022 BREST UΣ FRANCE22'
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioalikwa na mwenyeji wao Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, mjini Brest katika mkutano unaojadili Raslimali Bahari Duniani leo tarehe 11 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba akiweka saini moja ya mikataba ya ushirikiano wa kimaendeleo katika Nyanja mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa iliyowakilishwa na Waziri wake wa Biashara Frank Reicster katika mji wa Brest nchini Ufaransa leo tarehe 11 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassani akishuhudia utiaji saini wa mikataba ya ushirikiano katika sekta mbalimbali kati ya Tanzania na Ufaransa iliyosainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula pamoja na Waziri wa Biashara wa Ufaransa Frank Reicster katika mji wa Brest Nchini Ufaransa leo tarehe 11/2/2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassani akikagua kazi mbalimbali za ujezni wa vyombo vya usafiri wa majani ikiwemo Boti za uokoaji katika mji wa Brest Nchini Ufaransa leo tarehe 11/2/2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassani akikagua kazi mbalimbali za ujezni wa vyombo vya usafiri wa majani ikiwemo Boti za uokoaji katika mji wa Brest Nchini Ufaransa leo tarehe 11/2/2022.
No photo description available.
May be an image of text
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »