Habari kubwa za Magazeti ya leo tarehe 19/4/2024 kurasa za mbele na nyuma.
READ MOREWAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya waweke utaratibu wa kutoa taarifa za michango inayotolewa na wadau kwenye maafa ili kujenga imani kwao. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambao ni wakuu wa Kamati za Maafa kwenye maeneo yao watoe mrejesho ili kuweka uwazi na kujenga imani kwa
READ MOREWAZIRI MKUU Kasim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na uratibu wa uanzishaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika na tayari sh. bilioni 15.7 zimekusanywa kutoka kwa wanahisa. Amesema kiasi hicho ni sawa na asilimia 78.5 ya mtaji wa sh. bilioni 20 zinazohitajika na kwamba kuanzishwa kwa benki hiyo, kutaviwezesha vyama vya ushirika kupata mikopo yenye riba
READ MORE