WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria. “Mkuu wa Mkoa wekeni utaratibu utakaofaa ili mabasi yaanzie pale na kuishia pale lakini haimaanishi kuwa muwapitilize abiria wanaoshukia au kupandia njiani.” Ametoa agizo hilo leo asubuhi (Jumapili,
READ MORE* Wabunge wa Simiyu wammwagia sifa Rais Samia WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Njalu katika kijiji cha Kimali, kata ya Nyamalapa, wilayani Itilima, mkoani Simiyu na kuagiza kwamba shule hiyo iwe ya mfano. “Ujenzi wa shule hii usiishie kwenye madarasa na majengo ya utawala tu, bado inahitaji mabweni ya
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema agizo la Mheshimiwa Rais halipingwi na mtu yeyote na akawataka watumishi wa umma kote nchini wazingatie hilo. “Agizo la Rais likishatolewa halipingwi na mtu yeyote, kinachofuata ni utekelezaji na siyo kukaa vikao na kupitisha maamuzi mengine ya kulipinga. Hili ni suala la itifaki, na ni la muhimu sana Serikalini,” amesisitiza.
READ MORE