RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Huku jiji la Madrid likijivunia timu mbili bora zaidi katika historia ya soka ya Uhispania na Ulaya, ushindani wa jiji kuu ni wa kusisimua na wa kuvutia. Historia nyingi sana… lakini hapa kuna mambo matano ambayo labda hujui kuhusu mchezo huo. 1. Atlético iliundwa kwa kuitikia Real Madrid Kundi la wanafunzi wa Basque wanaoishi Madrid
READ MOREKLABU ya Simba imeshindwa kutamba katika mchezo wake wa kwanza hatua ya makundi katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuambulia kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Horoya AC ya nchini Guinea. Horoya AC ilianza kupata bao kupitia kwa nyota wao kutoka nchini Senegal, Pape Ndiaye aliefunga kwa kichwa dakika ya 18 kipindi cha
READ MORENa Mwandishi Wetu Iramba Singida Ili kuwakutanisha vijana pamoja kwa ajili ya kuimarisha afya zao, kutambua vipaji na kuviendeleza Wilaya ya Iramba imejipanga kuanza mashindano ya mpira miguu. Mashindano hayo yanayoratibiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda yanatarajiwa kuanza mapema mara baada ya msimu wa kilimo kumalizika. Mkuu wa Wilaya Mwenda
READ MOREwa Ligi Kuu Tanzania bara Timu ya Yanga imetinga hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Africa baada ya kuichapa bao 1-0 wenyeji club Africain mchezo uliopigwa nchini Tunisia. Shujaa wa Yanga ni kiungo mshambuliaji kutoka nchini Burkana faso akitokea benchi aliipatia bao muhimu timu yake dakika ya 79 Stephane Aziz Ki akimalizia pasi
READ MORE