• KOCHA MPYA SIMBA AAHIDI MAKOMBE

    KOCHA MPYA SIMBA AAHIDI MAKOMBE0

    Kocha mpya wa Simba, Zoran Manojnlovic leo amezungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaaam “Kila nchi ambayo nimewahi kufanya kazi kuna mechi za watani wa jadi, ili kufanya vizuri lazima kuwa na maandalizi ya kucheza mechi za aina hiyo” “Nimepata mafanikio katika Timu mbalimbali ambazo nimewahi kufundisha, Simba ni Timu kubwa Tanzania na

    READ MORE
  • MSUVA ASHINDA KESI FIFA, KULIPWA BILIONI 1.6 NA WYDAD

    MSUVA ASHINDA KESI FIFA, KULIPWA BILIONI 1.6 NA WYDAD0

    BAADA ya kusubiri kwa miezi 7 hatimaye Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeiamuru klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imlipe nyota wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva Dola za kimarekani 700,000 (zaidi ya Sh1.6 bilioni). Familia Happygod Msuva imesema imemshukuru Mungu kwa kusikia kilio chao juu ya mtoto wao Msuva aliyeishtaki klabu hiyo FIFA kutokana

    READ MORE
  • HERSI ASHINDA URAIS YANGA (VIDEO)

    HERSI ASHINDA URAIS YANGA (VIDEO)0

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa @yangasc wamempitisha Mhandisi. Hersi Ally Said ambaye alikuwa Mgombea pekee kwa KURA za NDIO kuwa Rais mpya wa Klabu ya Young Africans SC. extraordinarygeneralmeeting JfiveSports

    READ MORE
  • WASHINDI wa tuzo za Ligi Kuu (NBC & TFF AWARDS 2022)

    WASHINDI wa tuzo za Ligi Kuu (NBC & TFF AWARDS 2022)0

    Mfano wa hundi ikikabidhiwa kwa Mabingwa wa NBC Premier League msimu huu wa 2021/2022, Young Africans SC, na kupokelewa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Senzo Hammilton Mazingiza “Mbatha” Zawadi kwa timu zilizofanya vizuri NBC Premier League na Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Light Women’s Premier League 2021|2022) LIGI KUU YA WANAWAKE1.Simba Queens [Bingwa]2.Fountain Gate Princess

    READ MORE
  • PETER BANDA AZIDI KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA/ATAJWA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI AFRIKA

    PETER BANDA AZIDI KUIPAISHA SIMBA KIMATAIFA/ATAJWA MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI AFRIKA0

    Nyota wa Simba, Peter Banda amechaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika ngazi ya mashindano ya klabu kwa maana ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kama kinda bora akiyefanya vizuri kwenye michuano hiyo msimu uliopita 2021/2022.Banda mwenye umri wa miaka 21 ametajwa sambamba na makinda wengine watatu Mkongomani Guy Mbenza (22) anayecheza kwa

    READ MORE
  • MANARA AMUOMBA RADHI RAIS WA TFF (+VIDEO)

    MANARA AMUOMBA RADHI RAIS WA TFF (+VIDEO)0

    Msemaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya kutofautiana na Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia wakati wa mchezo wa fainali ya ASFC wa Yanga dhidi ya Coastal Union ameamua kuomba radhi. “Kwanza tukio zima halikuwa na matusi hilo nataka niweke wazi, wanaoshutumu nalo wameng’ang’ania hapo hapo hakukuwa na hata

    READ MORE
Translate »