MANARA AMUOMBA RADHI RAIS WA TFF (+VIDEO)

MANARA AMUOMBA RADHI RAIS WA TFF (+VIDEO)

Msemaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya kutofautiana na Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia wakati wa mchezo wa fainali ya ASFC wa Yanga dhidi ya Coastal Union ameamua kuomba radhi. “Kwanza tukio zima halikuwa na matusi hilo nataka niweke wazi, wanaoshutumu nalo wameng’ang’ania hapo hapo hakukuwa na hata

Msemaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya kutofautiana na Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia wakati wa mchezo wa fainali ya ASFC wa Yanga dhidi ya Coastal Union ameamua kuomba radhi.

“Kwanza tukio zima halikuwa na matusi hilo nataka niweke wazi, wanaoshutumu nalo wameng’ang’ania hapo hapo hakukuwa na hata neno moja la tusi ndio maana siku ile Airport nikawaambia atakayeweza kupata neno la matusi nitajiuzulu”

“Jana usiku nikamwambia Hersi twende tukamuone Mh Rais mimi ni mdogo kwake kwa nafasi ya Urais na tumefanya kwanza kwa muda mrefu nikasema neno ambalo waungwana hulisema wakati wowote wanapoteleza, nikasema Rais nimekuja kwa kukujibu vile au kujibizana na wewe nilikosea am sorry”

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »