RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Klabu ya Simba SC imeungana na Yanga SC kwenye fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC kwenye nusu fainali baada ya kutoka Sare ya kutofungana ndani ya dakika 90. Singida Fountain Gate FC itachuana na Azam FC kutafuta nafasi ya tatu. FT: SIMBA SC 0-0
READ MOREFT: Yanga SC 2-0 Azam FC⚽ Aziz Ki 85′⚽ Mzize 89′ Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC kwenye nusu fainali. Yanga imetangulia fainali kusubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC utakaopigwa kesho Agosti 10, 2023
READ MORETan Warriors Sports Academy ya mkoani Morogoro inayojihusisha na kuwaendeleza Vijana katika mpira wa Miguu , Basketball , Riadha n.k Leo Julai 16 , imerejea nchini ikitokea Italy ambapo ilienda tangu June , 20 mwaka huu kushiriki michuano ya Shirikisho la Michezo ya Vyuo Vikuu kwa mwaliko wa Chuo Kikuu cha Kamerino kilichopo nchini Italy.
READ MOREJonas Mkude amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia Klabu ya Yanga mpaka Juni 2024. Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo huyo kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Klabu ya Simba kufikia ukomo baada ya kuwatumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nao Mwaka 2010 JfiveSports
READ MORE