SIMBA YAIFUATA YANGA FAINALI NGAO YA JAMII

SIMBA YAIFUATA YANGA FAINALI NGAO YA JAMII

Klabu ya Simba SC imeungana na Yanga SC kwenye fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC kwenye nusu fainali baada ya kutoka Sare ya kutofungana ndani ya dakika 90. Singida Fountain Gate FC itachuana na Azam FC kutafuta nafasi ya tatu. FT: SIMBA SC 0-0

Klabu ya Simba SC imeungana na Yanga SC kwenye fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa penalti 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate FC kwenye nusu fainali baada ya kutoka Sare ya kutofungana ndani ya dakika 90.

Singida Fountain Gate FC itachuana na Azam FC kutafuta nafasi ya tatu.

FT: SIMBA SC 0-0 SINGIDA FOUNTAIN GATE FC (P

SIMBA: ✅✅✅✅

SINGIDA: ❌✅❌✅

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »