YANGA HAO FAINALI KUWASUBIRI SIMBA/SINGIDA FOUNTAIN GATE

YANGA HAO FAINALI KUWASUBIRI SIMBA/SINGIDA FOUNTAIN GATE

FT: Yanga SC 2-0 Azam FC⚽ Aziz Ki 85′⚽ Mzize 89′ Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC kwenye nusu fainali. Yanga imetangulia fainali kusubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC utakaopigwa kesho Agosti 10, 2023

FT: Yanga SC 2-0 Azam FC
⚽ Aziz Ki 85′
⚽ Mzize 89′

Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii 2023 kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC kwenye nusu fainali.

Yanga imetangulia fainali kusubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC utakaopigwa kesho Agosti 10, 2023 katika dimba la Mkwakwani, Tanga.

@yangasc
@azamfcofficial

JfiveSports

ngaoyajamii

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »