Young Africans Sports Club imepokea Shilingi 405,000,000.

Young Africans Sports Club imepokea Shilingi 405,000,000.

Rasmi Young Africans Sports Club imepokea Hundi ya Shilingi 405,000,000 kutoka kwa mdhamini mkuu wa Klabu Sportpesa Tanzania kama sehemu ya fedha za mafanikio ya Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la Azam na Mashindano ya CAF. Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Sportpesa Tanzania Mhe. Tarimba Abbas.

Inaweza kuwa picha ya Watu 3 na maandishi
Rasmi Young Africans Sports Club imepokea Hundi ya Shilingi 405,000,000 kutoka kwa mdhamini mkuu wa Klabu Sportpesa Tanzania kama sehemu ya fedha za mafanikio ya Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la Azam na Mashindano ya CAF.
Inaweza kuwa picha ya Mtu 1 na maandishi yanayosema 'ortPesa esa'
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Sportpesa Tanzania Mhe. Tarimba Abbas.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »