MKUDE ASAJILIWA YANGA

MKUDE ASAJILIWA YANGA

Jonas Mkude amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia Klabu ya Yanga mpaka Juni 2024. Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo huyo kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Klabu ya Simba kufikia ukomo baada ya kuwatumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nao Mwaka 2010 JfiveSports

Jonas Mkude amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuwatumikia Klabu ya Yanga mpaka Juni 2024.

Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo huyo kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na Klabu ya Simba kufikia ukomo baada ya kuwatumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nao Mwaka 2010

JfiveSports

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »