UTEUZI,PATRICK MONGELLA MKURUGENZI BODI YA NAFAKA.
- BREAKING NEWS, Habari
- October 2, 2023
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limethibitisha vifo vya Watu wanne (Ndugu wa Familia moja) ambao wamefariki baada ya gari aina ya Toyota Prado walilokuwa wamepanda wakitokea Dar es salaam kwenda Same, Kilimanjaro kugongana uso kwa uso na Scania lililokuwa linatokea Arusha kwenda Dar es salaam. RPC wa Pwani Piusi Lutumo amesema ajali imetokea saa nane
READ MORE