- Habari, Kitaifa
- April 29, 2024
Onesho kutoka kikundi maalum cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 26, 2024 wakionesha kwata mbalimbali ambazo hutumika katika mapigano ya mjini.
READ MOREHabari kubwa za magazeti ya leo tarehe 29/4/2024 kurasa za mbele na nyuma.
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kujenga Tanzania yenye mvuto kwa wawekezaji wote.” Hatua ambayo nchi yetu imefikia kwa sasa, inaondoa shaka kwa wawekezaji na imeendelea kuthibitisha kuwa
READ MORE