WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati kuendelea kupanua wigo wa matumizi ya nishati ya gesi asilia ili kupunguza athari za kimazingira zinazotokana na ukataji wa misitu nchini. Amesema hayo leo (Jumatano, Mei 25, 2022) wakati alipotembelea maonesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Amesema
READ MORE,
READ MORE- ELIMU, Habari
- May 25, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kufanya tathmini ya taarifa ya tume iliyoundwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ili iangalie namna ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ngazi ya kati. Amesema hayo jana (Jumanne, Mei 24, 2022) wakati akiweka jiwe la msingi kwenye jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi
READ MORE