- Habari, Kitaifa
- January 6, 2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa pongezi kwa Wawekezaji waliowekeza katika maeneo mbali mbali nchini, kwa kuwa na ushirikiano wa karibu na jamii inayowazunguka katika kusaidia utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo na kijamii, hususan katika sekta za afya, elimu na huduma za maji safi na
READ MORE- Habari, Kitaifa, Siasa
- January 6, 2022
Mwanachama mwengine wa ACT wazalendo amechukua fomu ya Kugombea Uwenyekiti wa Taifa chama hicho huku akiahidi kuongoza chama katika misingi bora katika umoja na mshikamano. Mwanachama huyo ambaye ni Hamad Masoud Hamad aliyaeleza hayo mara badaa ya kuomba nafasi hiyo na kukabidhiwa fomu huko katika Ofisi ya chama hicho iliyopo Mtaa wa vuga Mjini Zanzibar
READ MORE- Habari, Kitaifa, Uchumi
- January 6, 2022
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amewahakikishia mabalozi walioteuliwa na kupangiwa kazi katika mataifa mbali mbali kuwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano katika kufanikisha vyema majukumu yao. Mhe. Hemed alieleza hayo wakati mabalozi hao walipofika Ofisini kwake Vuga kumuaga kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika Nchi zao
READ MORE