• Juma Duni Haji amechukuwa fomu ya kugombea wenyekiti wa Chama cha ACT-WAZALENDO.

    Juma Duni Haji amechukuwa fomu ya kugombea wenyekiti wa Chama cha ACT-WAZALENDO.0

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa chama cha ACT wazalendo Juma Duni Haji amechukuwa fomu ya kugombea wenyekiti wa Chama hicho huku akisema yupo tayari kukiongoza chama hicho ambacho kinakwenda kuchukua dola ya Tanzania katika uchaguzi ujao. Hayo aliyasema wakati akichukua fomu ya kugombea nafasi hiyo ambayo alikabidhiwa kwake na Mjumbe wa kati ya uchaguzi Muhene Said

    READ MORE
  • JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.

    JUMA DUNI HAJI Mgombea Nafasi ya Uenyekiti Taifa Chama cha ACT-Wazalendo.0

    Mgombea Nafasi ya Uenyekiti wa Chama Alliance for Changeand Transparency –ACT-Wazalendo Taifa 2022 JINA : JUMA DUNI HAJITAREHE YA KUZALIWA : 26 NOVEMBA, 1950MAHALA ALIPOZALIWA : ZANZIBARURAIA : MTANZANIA, ZANZIBARNDOA : AMEOAANUANI : P.O.BOX 3637 ZANZIBAR,: Email; kibeni1950@gmail.com: +255 778 028182ANAPOISHI SASA : KISAUNI WILAYA MAGHARIB B’UNGUJA Elimu yake: University of Manchester- Masters in Human

    READ MORE
  • WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI.

    WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI MKUTANO WA KAMATI YA MAWAZIRI.0

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika kwa njia ya mtandao, katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo Januari 5, 2022. Kulia ni

    READ MORE
Translate »