• WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NMB

    WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NMB0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameipongeza benki ya NMB kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano na taasisi za Serikali katika kuboresha upatikanaji wa huduma za afya. Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Septemba 6, 2021) wakati akizindua Asasi ya Kiraia ya NMB. Uzinduzi huo umefanyika katika Hotel ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es Salaam. “Nitoe wito kwa taasisi nyingine za

    READ MORE
  • CCM YAIAGIZA SERIKALI KUNUNUA MAHINDI TANI 100, 000 KUKABALIANA NA HALI YA HEWA

    CCM YAIAGIZA SERIKALI KUNUNUA MAHINDI TANI 100, 000 KUKABALIANA NA HALI YA HEWA0

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa  Hifadhi ya Chakula (NFRA)  kununua tani 100,000 za mahindi katika Mikoa ya Nyanda za juu Kusini mara baada ya awali kukunua tani 24,000  sababu ni kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) kudai kutakuwa na upungufu wa mvua msimu ujao wa kilimo.

    READ MORE
  • TAMKO LA WAZIRI DKT. GWAJIMA KUELEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE OKTOBA MOSI 2021

    TAMKO LA WAZIRI DKT. GWAJIMA KUELEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE OKTOBA MOSI 20210

    Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu Manyoni Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za Mapitio ya Sera ya Taifa ya Wazee ya mwaka 2003 kwa kushirikiana na wadau na imeendelea kutekeleza afua mbalimbali zinazolenga  kutatua changamoto zinazowakabili Wazee. Hayo yamesemwa Wilayani Manyoni Mkoani Singida na Waziri wa Afya, Maendeleo

    READ MORE
Translate »