• Wajumbe wa Kamati ya Mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi watakiwa kupitia changamoto

    Wajumbe wa Kamati ya Mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi watakiwa kupitia changamoto0

    Na Barnabas Kisengi  Wajumbe wa Kamati ya Kitaalamu ya Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia Mifumo Ikolojia Vijijini (EBARR) wametakiwa kupitia changamoto zote za utekelezaji wa mradi huo zilizojitokeza na kupendekeza hatua za kuchukua.Wito huo umetolea leo Mei 11, 2021 na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Andrew Komba alipokuwa

    READ MORE
  • WASAIDIENI WABUNIFU WACHANGA – WAZIRI MKUU

    WASAIDIENI WABUNIFU WACHANGA – WAZIRI MKUU0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi na mamlaka ambazo zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga zihakikishe zinawawezesha kubiasharisha ubunifu na uvumbuzi wao. “Taasisi za sayansi na teknolojia; vyuo vikuu; taasisi za utafiti na maendeleo; na mamlaka mbalimbali kama SIDO, VETA na DON BOSCO ambazo kwa namna moja ama nyingine zinashiriki kuendeleza wabunifu wachanga ziwasaidie kubiasharisha ubunifu na

    READ MORE
  • RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA  WAZIRI MOHAMMED MCHENGERWA NA UJUMBE WAKE

    RAIS DKT.MWINYI AKUTANA NA WAZIRI MOHAMMED MCHENGERWA NA UJUMBE WAKE0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuifuatilia kwa karibu mipango ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA)  ili kuhakikisha inawanufaisha wananchi walio wengi hapa nchini. Rais  Dk. Mwinyi aliyasema

    READ MORE
Translate »