RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Wakala wa huduma za misitu [TFS] kupitia shamba la miti Morogoro wamegawa vifaa vya ujenzi vyenye thaman zaid ya milioni 5 katika shulea ya msingi sokoine wilaya ya mvomero kwa lengo la umaliziaji wa vyumba vya madarasa pamoja na umaliziaji wa zahanati mtaa wa mawasiliano Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro. ikiwa ni kuunga mkono
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuomba Mwenyezi Mungu kuwajaalia kheri na malipo mema ya swaumu, wananchi wa Mkoa wa Mkoa Mjini Magharibi waliojumuika pamoja nae katika hafla ya Futari. Dk. Mwinyi ameomba dua hiyo leo katika futari aliyoianda kwa ajili ya wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi
READ MORENa Mwandiahi Wetu-Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara rasmi inaanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa ambao utapitishwa kupitia Bajeti ya mwaka ujao wa Fedha wa 2021/2022. Mfuko huo utakuwa maalum kwa ajili ya kusaidia wasanii kupata mitaji ambayo itawasaidia kufanya kazi zao za Sanaa
READ MORE