TFS YATOA MSAADA MIUNDOMBINU YA SHULE

TFS YATOA MSAADA MIUNDOMBINU YA SHULE

Wakala wa huduma za misitu [TFS] kupitia shamba la miti Morogoro wamegawa vifaa vya ujenzi vyenye thaman zaid ya milioni 5 katika shulea ya msingi sokoine wilaya ya mvomero kwa lengo la umaliziaji wa vyumba vya madarasa pamoja na umaliziaji wa zahanati mtaa wa mawasiliano Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro. ikiwa ni kuunga mkono

Wakala wa huduma za misitu [TFS] kupitia shamba la miti Morogoro wamegawa vifaa vya ujenzi vyenye thaman zaid ya milioni 5 katika shulea ya msingi sokoine wilaya ya mvomero kwa lengo la umaliziaji wa vyumba vya madarasa pamoja na umaliziaji wa zahanati mtaa wa mawasiliano Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro. ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika utoaji wa huduma bora za elimu ana afya kwa wananchi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »