• LUDEWA:WATU WANNE WAFARIKI KWA AJALI YA KUTUMBUKIA MTONI WAKITOKA KWENYE MAPUMZIKO

    LUDEWA:WATU WANNE WAFARIKI KWA AJALI YA KUTUMBUKIA MTONI WAKITOKA KWENYE MAPUMZIKO0

    Watu wanne akiwemo mkuu wa chuo cha uuguzi Lugarawa Steven Mtega (39) wamefariki dunia kwa kuzama kwenye mto Lupali wakiwa kwenye gari waliyokua wakisafiria kata lugarawa wilayani Ludewa mkoani Njombe. Akizungumza kwa njia ya simu jana mganga mkuu wa wilaya ya Ludewa dkt Stanley Mlay,alisema tukio hilo limetokea febuari 27 majira ya usiku marehemu hao

    READ MORE
  • RC MORO AANZISHA KAMPENI YA UJENZI WA MABWENI

    RC MORO AANZISHA KAMPENI YA UJENZI WA MABWENI0

    NA WANDISHI WETU, MOROGORO. MKUU wa mkoa wa Morogoro, Loata Ole Sanare ameanzisha kampeni maalumu ya ujenzi wa mabweni kwa Shule zote za Sekondari ili ifikapo mwaka 2022 kusiwe na mwanafunzi yeyote atakayekuwa akisoma huku akikaa nyumbani kwa wazazi. Ole sanare amesema hayo akiwa wilayani Malinyi wakati akizungumza na Wanafunzi,Walimu,Viongozi mbalimbali wa Serikali na wakazi

    READ MORE
  • WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA ATOA TATHMINI YA JITIHADA ZA KUDHIBITI NZIGE MKOANI KILIMANJARO

    WAZIRI WA KILIMO PROF. MKENDA ATOA TATHMINI YA JITIHADA ZA KUDHIBITI NZIGE MKOANI KILIMANJARO0

    Waziri wa kilimo Profesa Adolf Mkenda ametoa tathimini ya kuwadhibiti na kuwateketeza nzige wa jangwani walioingia nchini mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu ambapo hadi sasa nzige hao wamethibitiwa na wataalamu wa wizara ya kilimo kwa kushirikiana na Halmiashauri za Longido, Simanjiro na Siha. Profesa Mkenda amesema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa habari wilayani

    READ MORE
Translate »