• Mkoa wa Kusini Unguja umetoboa siri ya ushindi wa CCM mwaka huu 2020.0

    Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kimetoboa siri ya ushindi  wa ccm mwa 2020 imetokana na maandalizi kabambe,  mshikamano , utendaji   wa pamoja  na maelewano thabit .  Amesema  bila ya kushikamana , kupeana taarifa za usahihi  kati ya chama na jumuiya zake  usingepatikana ushindi wa kishindo. Matamshi hayo yametamkwa na Mwenyekiti wa

    READ MORE
  • KAMILISHENI UTARATIBU WA BEI KIKOMO YA SARUJI-MAJALIWA.0

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMILISHENI UTARATIBU WA BEI KIKOMO YA SARUJI-MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani kwa nia ya kuondoa upandishwaji holela unaofanywa na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu. Pia,

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU MSATAAFU, MALECELA AZUNGUMZIA MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA UHURU NA MIAKA 58 YA JAMHURI.0

    Na Barnabas kisengi-Dodoma Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu,John Samuel Malecela,amesema,serikali ya awamu ya tano imeondoa kilichoonekana kuwa kujitegemea ni nadharia kufuatia vitendo ikiwemo vya kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ya matrilioni ya shilingi kwa fedha za ndani na kugharamia uchaguzi mkuu wa hivi karibuni. Mzee Malecela,katika mahojiano  maalum na kituo hichi

    READ MORE
Translate »