• SOMO LA SIKU0

    • Dini
    • December 7, 2020

    ANZA WIKI KWA KUTENGENEZA MAHUSIANO MAZURI NA MUNGU ALIYEHAI Bwana Yesu Kristo aliyehai asifiwe❗ tumshukuru Mungu kwa Kuwa anatupenda na ameachilia uzima kwetu. Achana na changamoto za maisha yako Bali mshukuru Sana Mungu kwa Kuwa anatutunza. Jambo la msingi kumbuka Mungu hatuachi kuendelea kuishi ili kukidhi mahitaji yetu la hasha bali tumtumikie kwa Mapenzi yake

    READ MORE
  • WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA HOSPITALI YA UHURU0

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino, Dodoma na kuagiza huduma zianze kutolewa ifikapo Desemba 20 mwaka huu. Amekagua hospitali hiyo leo (Jumapili, Desemba 6, 2020) na amesema vifaa vyote zikiwemo samani, vifaa tiba vinavyotakiwa kuwepo kwenye hospitali hiyo vipelekwe na vifungwe ili huduma zianze

    READ MORE
  • DKT. ABBASI AAGIZA WANASHERIA TAASISI ZA SANAA KUTOA MSAADA WA SHERIA BURE KWA WASANII0

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, leo akiwa jijini Dar es Salaam amewaagiza Wanasheria walioajiriwa na Serikali katika taasisi za Wizara hiyo kama Basata, Cosota na Bodi ya Filamu kutoa msaa wa aheria bure kwa wadau wao hasa wasanii. “Leo hapa nimesikia jinsi wasanii wanavyodhulumiwa na mitandao inayotumia kazi

    READ MORE
Translate »