• SOMO LA SIKU0

    • Dini
    • December 4, 2020

    Bwana Yesu Kristo aliyehai asifiwe❗Nina mtukuza Mungu aliyehai anayetupenda na kuachilia uzima kwetu. Ninamshukuru Sana YEHOVA Mungu wetu kwa ulinzi wake kwetu Kama familia ya Amani choir. Hii Ni neema ya ajabu sana maana Kama si BWANA na Israel aseme. Kama si Mungu aliyehai na mtu aseme basi kwamba Ni mkono wake umetufikisha hapa tulipo.

    READ MORE
  • “UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA WAFIKIA ASILIMIA 98”. MAJALIWA.0

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mv. Kilindoni Hapa Kazi Tu kitakachokuwa kinafanya safari kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati umefikia asilimia 98 na kwamba ifikapo Desemba 15 mwaka huu kitaingia majini kwa mara ya kwanza. ’’Wana-Mafia tumekuwa tukizungumza sana sasa tumefikia hatua

    READ MORE
  • ” WAAJIRI TOENI USHIRIKIANO KWA WENYE ULEMAVU”. MAJALIWA:0

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewatakaa waajiri wote nchini wawe tayari kuwapokea na kuwapa ushirikiano watu wenye ulemavu ili waweze kupata fursa ya kuchangia katika shughuli za ujenzi wa Taifa kama sheria ya ajira na mahusiano kazini inavyotaka. Pia amewaagiza waajiri wote wahakikishe wanazingatia sheria namba tano (5) ya mwaka 2003

    READ MORE
Translate »