• TUMEWAANDIKIA CHADEMA BARUA KUOMBA TUNDU LISSU KUJIELEZA NI NANI ANAYEMTISHA-IGP SIRRO0

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema amekiandikia barua chama cha  demokrasia na maendeleo kuomba mgombea urais wa chama hicho  Tundu Lissu, kufika kituo cha polisi kujieleza undani wa nani anayemtishia. IGP Sirro ametoa kauli hiyo hii leo Novemba 19, 2020, jijini Dar es Salaam, wakati akitoa taarifa ya mwenendo wa usalama wakati wa uchaguzi

    READ MORE
  • NIMEWAANDIKIA BARUA ACT-WAZALENDO KUPELEKA JINA LA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS-MWINYI0

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema amekiandikia barua chama cha ACT- Wazalendo kukiomba kupeleka jina la makamu wa kwanza wa Rais baada ya chama kupata asilimia ya zaidi ya 10 kwa mujibu wa Katiba. Amesema hayo leo November 19, 2020 Ikulu Zanzibar alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari, alifafanua zaidi kuwa baada ya

    READ MORE
  • KAMERA 306 KUWEKWA KWENYE UKUTA WA TANZANITE0

    SERIKALI imezindua mfumo wa usalama wa kamera 306 zenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 kwenye ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wenye lengo la kuhakikisha usalama na ulinzi wa rasilimali hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Profesa Simon Msanjila akizungumza jana mji mdogo wa Mirerani

    READ MORE
  • BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ZANZIBAR LATANGAZWA0

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ZANZIBAR: 1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Uchumi na Uwekezaji – Mheshimiwa Mudrik Ramadhan Soraga. 2. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) – Mheshimiwa Masoud Ali Mohammed. 3. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba na Utawala Bora – Mheshimiwa Haroun Ali

    READ MORE
  • MWINYI ASHTUKIZA HOSPITAL,AKUTA MADUDU NA KUTOA MAAGIZO…0

    “Nimeangalia wauguzi, nimeangalia madaktari hakuna aliyevaa jina ili atambulike hiyo ni kasoro kubwa katika utoaji wa huduma ya afya, kwanza lazima mtu atambulike kama anatoa huduma ili kama mtu ana tatizo aseme hakufanyiwa huduma nzuri na nani kwa hili nitawataka uongozi warekibishe mara moja” Dkt.Mwinyi “Nimeona kuna baadhi ya huduma hazifanyiki si kwa sababu hatuna fedha

    READ MORE
  • UELEWA WA KISHERIA KATIKA MASUALA YA SHERIA ZA MIRATHI0

    DODOMA. SERIKALI imekiri kuwepo  kwa changamoto ya muda mrefu ya Wananchi wengi kutokuwa na uelewa wa kisheria katika masuala ya usimamizi wa mirathi katika ngazi ya familia hali inayochangia watu wengi kudhulumiwa haki zao za msingi. Sambamba na hilo pamoja na  kuwepo kwa Sheria mahsusi zilizotungwa kwa ajili ya kuwezesha usimamizi bora wa mirathi bado

    READ MORE
Translate »