• PROF. JAY ATOKA HOSPITALINI

    PROF. JAY ATOKA HOSPITALINI0

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema Joseph Haule (Profesa Jay) ameruhusiwa kutoka Hospitalini jana na kwenda nyumbani baada ya hali yake kiafya kuonekana kuimarika. Msanii huyu nguli wa Bongofleva ameruhusiwa kutoka Hospitalini baada ya siku 127 za kutibiwa kwenye Hospitali hii ya Taifa iliyopo Jijini Dar es salaam. #

    READ MORE
  • MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUNI 10, 2022

    MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUNI 10, 20220

    ,

    READ MORE
  • DC ILALA KUZINDUA KUPIMA AFYA BURE ILALA

    DC ILALA KUZINDUA KUPIMA AFYA BURE ILALA0

    Na HERI SHAABAN – IlALA MKUU wa Wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija anatarajia kuzindua kampeni ya kupima Afya Bure wananchi wa Wilaya ya Ilala Dar Salaam . Kampeni hiyo ya kupima Afya Bure inatarajia kuzinduliwa Juni 11 mpaka 12 mwaka huu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Wilayani Ilala. Akizungumza kampeni hiyo ya kupima Afya

    READ MORE
Translate »