Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
,
READ MOREFULL TIME: #NBCPL 🇹🇿 🏟️ Benjamin Mkapa YANGA SC 0-0 TZ PRISONS Mwisho wa dakika 90 katika dimba la Benjamin Mkapa, milango ya pande zote imekuwa imara, sio Wananchi wala Maafande wa Jeshi la magereza walioona lango la mwingine. Yanga SC ilipata nafasi nyingi za kupata goli la uongozi lakini hawakutumia nafasi hizo vyema. Kulikuwa
READ MORE,
READ MORESerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imedhamiria kwa dhati kuiendeleza Sekta ya Utalii na kuongeza thamani na ubora ili kuendelea kukuza uchumi wa Nchi. Rais Dkt. Mwinyi ameeleza hayo kupitia hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katka hafla ya uzinduzi wa mchango wa utalii katika
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amepongeza juhudi zinazofanywa na Shirika la Chakula Duniani kwa kusaidia maendeleo Nchini. Mhe. Hemed ametoa Pongezi hizo alipokutana na kufanya mazungumzo na Muwakilishi wa Shirika hilo Nchini Tanzania Bi Sarah Gordon-Gibson na ujumbe wake walipofika Ofisini kwake Vuga Jijini. Amesema Serikali inathamini Mchango unaotolewa
READ MORE