YANGA WASHIKWA NA MAAFANDE

YANGA WASHIKWA NA MAAFANDE

FULL TIME: #NBCPL ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐ŸŸ๏ธ Benjamin Mkapa YANGA SC 0-0 TZ PRISONS Mwisho wa dakika 90 katika dimba la Benjamin Mkapa, milango ya pande zote imekuwa imara, sio Wananchi wala Maafande wa Jeshi la magereza walioona lango la mwingine. Yanga SC ilipata nafasi nyingi za kupata goli la uongozi lakini hawakutumia nafasi hizo vyema. Kulikuwa

FULL TIME: #NBCPL ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐ŸŸ๏ธ Benjamin Mkapa

YANGA SC 0-0 TZ PRISONS

Mwisho wa dakika 90 katika dimba la Benjamin Mkapa, milango ya pande zote imekuwa imara, sio Wananchi wala Maafande wa Jeshi la magereza walioona lango la mwingine.

Yanga SC ilipata nafasi nyingi za kupata goli la uongozi lakini hawakutumia nafasi hizo vyema.

Kulikuwa na mkanganyiko kidogo juu ya upigaji wa penalti, Saido Ntibanzonkiza akionekana kumnyima mpigaji namba moja Djuma Shabani na kumkabidhi Mayele aliyekosa penalti hiyo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate ยป