Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
Hukumu ya mahakama inawataka Wakazi 700 kuvunjiwa nyumba zao kumpisha Ndugu. Martin Nasso. Wavamizi waomba Suluhu kwa mmiliki walipe fidia. RC Makalla ahairisha kikao Na sasa mazungumzo kufanyika site Chanika siku ya jumatatu. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla Jumatatu ya May 09 anatarajia kufika eneo la Mbondole Kata ya Chanika
READ MOREMahakama Kuu imemuachia huru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili baada ya kubaini kulikuwa na mapungufu katika mwenendo mzima wa kesi, pamoja na kutofautiana kwa mashahidi. Sabaya na wenzake walikata rufaa kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha iliyotolewa
READ MORE,
READ MOREDar es Salaam. Tarehe 5 Mei, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za kidijitali nchini Tanzania, Tigo, leo imefanya kongamano la wanahabari kutoka vyombo vya habari vinavyotambulika ili kuungana na kuweka wazi mipango yake ya siku za usoni inayolenga kuchochea tasnia ya mawasiliano nchini Tanzania baada ya muungano ulioongozwa na Axian Telecom na mfanyabiashara
READ MOREYANGA, RUVU WATOSHANA NGUVU FULL TIME: #NBCPL 🇹🇿 🏟️ Lake Tanganyika, Kigoma RUVU SHOOTING 0-0 YANGA SC Mchezo umetamatika katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, kwa sare ya 0-0 kati ya Wenyeji Ruvu Shooting dhidi ya Vinara wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Yanga SC wanalazimishwa sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting ikiwa
READ MORE