YANGA WASHINDWA KUTETEMA MBELE YA RUVUSHOOTING

YANGA WASHINDWA KUTETEMA MBELE YA RUVUSHOOTING

YANGA, RUVU WATOSHANA NGUVU FULL TIME: #NBCPL 🇹🇿 🏟️ Lake Tanganyika, Kigoma RUVU SHOOTING 0-0 YANGA SC Mchezo umetamatika katika uwanja wa  Lake Tanganyika Kigoma, kwa  sare ya 0-0 kati ya Wenyeji Ruvu Shooting dhidi ya Vinara wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara. Yanga SC wanalazimishwa sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting ikiwa

YANGA, RUVU WATOSHANA NGUVU

FULL TIME: #NBCPL 🇹🇿

🏟️ Lake Tanganyika, Kigoma

RUVU SHOOTING 0-0 YANGA SC

Mchezo umetamatika katika uwanja wa  Lake Tanganyika Kigoma, kwa  sare ya 0-0 kati ya Wenyeji Ruvu Shooting dhidi ya Vinara wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.

Yanga SC wanalazimishwa sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting ikiwa ni mchezo wa pili bila kupata ushindi wala kufunga goli lolote.

@yangasc @ruvushootingfc

#NBCPremierLeague
#JfiveSports

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »