- Afya, Habari, Kitaifa
- October 18, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa miezi mitatu kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Karatu kumaliza ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa kuwa hakuna sababu ya ujenzi huo kutokukamilika wakati Serikali tayari imeshapeleka fedha za ujenzi wa hospitali hiyo. Mhe. Rais Samia amesema hayo tarehe 17 Oktoba, 2021 wakati
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 17, 2021
Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itazitumia Shilingi bilioni 90.2 za mgao wa mkopo wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) katika maeneo makuu matano ambayo yameathirika zaidi kutokana na ugonjwa wa UVIKO-19 ikiwemo kukarabati na kujenga miundombinu ya utalii katika maeneo ya hifadhi za Taifa ili kuongeza watalii wanaoitembelea Tanzania.Hatua hiyo imekuja kufuatia Serikali ya
READ MOREMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullla amewataka wadau wa sekta ya utalii kubuni mbinu mpya zitakazosaidia kuwavutia watalii kurudi tena kuitembelea Zanzibar. Mhe. Hemed alitoa witò huo wakati akilifungua kongamano la wadau wa utalii Zanzibar lililofanyika katika Hotel ya Golden Tulip Airport Zanzibar. Aliwashauri wadau hao kubuni mbinu mpya zenye
READ MORE