• WAZIRI MKENDA ASISITIZA//MSIWAFICHE NDANI WATOTO WENYE ULEMAVU//WANA HAKI YA KUPATA ELIMU

    WAZIRI MKENDA ASISITIZA//MSIWAFICHE NDANI WATOTO WENYE ULEMAVU//WANA HAKI YA KUPATA ELIMU0

    Na Mathias Canal, Dar es salaam Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa watoto wenye mahitaji maalum wanapata huduma zote stahiki ikiwemo elimu kama ilivyo kwa wanafunzi wengine. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 7 Machi 2022 mbele ya mgeni rasmi-ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe

    READ MORE
  • WIZARA YA ELIMU KUJENGA KAMBI YA SKAUTI YENYE HADHI YA KIMATAIFA JIJINI DODOMA

    WIZARA YA ELIMU KUJENGA KAMBI YA SKAUTI YENYE HADHI YA KIMATAIFA JIJINI DODOMA0

    Na WyEST, MWANZA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanikiwa kupata eneo la ujenzi wa kambi ya Skauti yenye hadhi ya Kimataifa katika eneo la Chigongwe Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa Jijini Mwanza Februari 19, 2022 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omari Kipanga (Mb) alipomuwakilisha rais wa Skauti ambaye pia ni Waziri

    READ MORE
  • PROF.MKENDA AONGEZA MUDA WA USAJILI WA MASHINDANO YA UBUNIFU

    PROF.MKENDA AONGEZA MUDA WA USAJILI WA MASHINDANO YA UBUNIFU0

    Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametangaza  rasmi kuongeza  muda wa usajili wa wabunifu hadi tarehe  28,Februari ,2022 . Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 16,2022  kuhusu    maadhimisho  ya  wiki  ya ubunifu  na mashindano ya kitaifa  ya Sayansi ,Teknolojia      na Ubunifu[MAKISATU]2022      Prof.Mkenda amesema  hiyo itasaidia kuongeza fursa kwa wabunifu mbalimbali kuendelea kujisajili  .

    READ MORE
Translate »