WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO DKT. SAMIA SULUHU HASAN JIJINI TANGA.

Muonekano wa jengo la Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake. Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha

Muonekano wa jengo la Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake.
Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mkarafuu baada ya kuweta jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Kitega Uchumi cha Jiji la Tanga lililopewa jina la Dkt. Samia Suluhu Hassan Business Cetre, eneo la Kange , Aprili 22, 2024. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Buriani.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »