• CHANJO CORONA LAZIMA WANAOTAKA KWENDA KUISHI SAYARI YA MARS

    CHANJO CORONA LAZIMA WANAOTAKA KWENDA KUISHI SAYARI YA MARS0

    Shirika la anga na unajimu la nchini Marekani NASA limetoa vigezo kwa watu watakaochukuliwa ili kwenda kuanzisha maisha mapya katika sayari jirani ya Mars. Shirika hilo limesema mpango wa kuhamisha makazi ya binadamu kwenda kuishi kwenye sayari hiyo jirani unatazamiwa kuanza mwaka 2037. Sayari hiyo inayojulikana kama sayari nyekundu yaani Red Planet kutokana na muonekano wake wa

    READ MORE
Translate »