• SERIKALI YATOA UFAFANUZI IDADI NDOGO YA WANAFUNZI KUPANGIWA SHULE ZA BWENI KIDATO CHA KWANZA

    SERIKALI YATOA UFAFANUZI IDADI NDOGO YA WANAFUNZI KUPANGIWA SHULE ZA BWENI KIDATO CHA KWANZA0

    Na Barnabas Kisengi-Kongwa SIKU za hivi karibu zimeibuka hoja ya wananchi wengi ambao wamehoji namna ya kuwachagua wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza kwa shule za bweni.Hoja za wananchi zinaonesha wazi kuwa kila mzazi anatamaniย  mtoto wake achaguliwe katika shule za bweni. Akitoa ufafanuzi wa hoja za wazazi na walezu,ย Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- TAMISEMI

    READ MORE
  • KANISA LA MORAVIAN LAISHAURI SERIKALI KUWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI WANAFUNZI.

    KANISA LA MORAVIAN LAISHAURI SERIKALI KUWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI WANAFUNZI.0

    Na; Emesto Eliudy, Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya elimu nchini, imeshauriwa kuandaa mitaala rafiki Kwa ajili ya masomo Kwa wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari ili kuwajengea uwezo mkubwa na uelewa mpana wa elimu wanafunzi hao. Ushauri huo umetolewa jijini Dar Es Salam na Mchungaji wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la

    READ MORE
  • TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022

    TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 20220

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. Bonyeza hapa chini kutazama Matokeo ya Kidato cha Pili ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ https://matokeo.necta.go.tz/ftna2022/ftna.htm Bonyeza hapa chini kutazama Matokeo ya Darasa la Nne. ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm

    READ MORE
Translate ยป