• UJUMBE WA RAIS KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI

    UJUMBE WA RAIS KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI0

    Na Mwandishi wetu , DODOMA. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amevitaka Vyama vya Siasa nchini kuacha siasa za chuki na uhasama ambazo zinaleta uvunjifu wa amani na  hazina tija kutokana na  kukiuka demokrasia ya  ushindani  bali watumie  fursa ya vyama vingi vya siasa katika kasi ya kuwaletea wananchi maendeleo. Rais Samia ameyasema hayo leo Jijini

    READ MORE
  • WAZAZI CCM WILAYA ILALA KUJENGA NYUMBA YA MTUMISHI

    WAZAZI CCM WILAYA ILALA KUJENGA NYUMBA YA MTUMISHI0

    Na Heri Shaaban( CCM Ilala ) JUMUIYA ya Wazazi Wilaya imeanza mikakati ya kujenga nyumba ya Katibu wa Wazazi wa Wilaya Ilala. Mkakati huo umenza hivi karibuni kufuatia Mtumishi wake kukosa nyumba kuishi. Akizungumza katika Bonanza la Wazazi Dar Salam Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Ilala , Mohamed Msophealisema mkakati huo wa kujenga umeanza hivi

    READ MORE
  • HAYA HAPA MAJINA YA MAKATIBU WA CCM WAPYA WILAYA NA MIKOA

    HAYA HAPA MAJINA YA MAKATIBU WA CCM WAPYA WILAYA NA MIKOA0

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuendelea kufanya mageuzi ya kiuongozi na kiutendaji ili kukidhi mahitaji ya wakati, mwenendo wa mabadiliko ya siasa za dunia na madhumuni ya Chama chetu katika kuwatumikia wananchi kikamilifu. Hivyo Chama kimefanya uteuzi wa makatibu wa mikoa 32, waliobaki vituo vyao vya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na

    READ MORE
Translate »