ZIARA YA KICHAMA YA RAIS SAMIA ZANZIBAR.

ZIARA YA KICHAMA YA RAIS SAMIA ZANZIBAR.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda, Akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari leo tarehe 16 Januari, 2024 katika Afisi kuu ya CCM Kisiwandui ambalo ametoa taarifa ya ziara ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi,Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda, Akizungumza na waandishi wa vyombo vya habari leo tarehe 16 Januari, 2024 katika Afisi kuu ya CCM Kisiwandui ambalo ametoa taarifa ya ziara ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kichama katika Mikoa Minne (4) ya Unguja kuanzia tarehe 17 – 18 Januari 2024.

Mikoa hiyo ni Kaskazini Unguja, Kusini Unguja, Mjini na Mkoa wa Magharibi.

Katika Ziara hiyo, Dkt. Samia atakagua miradi mbalimbali ya Chama na kuzungumza na Viongozi wa Chama, Wanachama na Wananchi wote.

Mwenezi Makonda, ametoa rai na mwaliko kwa Wananchi wote kujitokeza kwa wingi ili kushiriki katika ziara hiyo.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »