RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi kuchagua Viongozi madhubuti wenye uwezo wa kukivusha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Dk. Mwinyi ametoa wito huo katika salamu alizotoa kwa wanachama na Viongozi wa
READ MOREHalmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imemsamehe na kuwarudishia uanachama wao waliokuwa wanachama wawili wa chama hicho akiwamo Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Benard Membe. Mwanachama mwingine aliyesamehewa na kurejeshewa uanachama wake ni Abdallah Maulid Diwani kutoka Zanzibar. Februari 28, mwaka 2020, Kamati Kuu ya CCM chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama
READ MORE