• HABARI PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI.

    HABARI PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI.0

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora) George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 06, 2023. Waziri Mkuu,READ MORE
  • SERIKALI IKO MAKINI NA INAFUATILIA MIRADI YOTE INAYOTEKELEZA INAYOTELEZWA HAPA NCHINI

    SERIKALI IKO MAKINI NA INAFUATILIA MIRADI YOTE INAYOTEKELEZA INAYOTELEZWA HAPA NCHINI0

    Waziri Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu imeandaa mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya mipango na

    READ MORE
  • WANANCHI WA NKASI KUNUFAIKA NA  HEKTA 10 TOKA HIFADHI YA LOASI

    WANANCHI WA NKASI KUNUFAIKA NA HEKTA 10 TOKA HIFADHI YA LOASI0

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wanatarajiwa kumegewa eneo lenye ukubwa wa hekta 10,828 kutoka  katika Msitu wa Hifadhi wa Loasi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na makazi. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amesema hayo bungeni kwa Niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii alipokuwa akijibu

    READ MORE
  • OFISA YA BUNGE YAANZISHA MABONANZA KWA AJILI YA WABUNGE

    OFISA YA BUNGE YAANZISHA MABONANZA KWA AJILI YA WABUNGE0

    Na Barnabas Kisengi Dodoma Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Aksoni amesema Ofisi ya Bunge imeanzisha utaratibu wa kuwa na Bonanza la michezo kwa waheshimiwa wabunge na watumishi wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt Tulia amesema mabonanza hayo yatafanyika mara nne kila mwaka katika vipindi vya mikutano

    READ MORE
  • UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA

    UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto

    READ MORE
  • SERIKALI INATAMBUA MCHANGO ULIOTOLEWA NA BALOZI RUPIA-MAJALIWA

    SERIKALI INATAMBUA MCHANGO ULIOTOLEWA NA BALOZI RUPIA-MAJALIWA0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua mchango mkubwa uliotolewa na marehemu Balozi Paul Rupia wakati wa utumishi wake na hata baada ya kustaafu. “Moja ya jambo ambalo halitasahaulika ni uthubitu wake wa kuanzisha Benki ya Watu wa Dar es Salaam (DCB) ambayo alikuwa mwenyekiti wake na hadi  anaondoka katika uongozi aliicha benki hiyo ikiwa

    READ MORE
Translate »