• Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa afya.

    Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa afya.0

    Serikali inaendelea kuboresha upatikanaji wa watumishi wa kada za Afya katika Vituo vya kutolea huduma za Afya ili kuendana na upanuzi wa miundombinu ya Afya ya Msingi nchini. Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Nyangw’ale

    READ MORE
  • TULIA ACKSON AAPISHWA KUWA SPIKA WA BUNGE

    TULIA ACKSON AAPISHWA KUWA SPIKA WA BUNGE0

    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameshinda uchaguzi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 376 kati ya 376 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Hii inamaanisha na wabunge 19 wa chama cha CHADEMA waliohudhuria leo kura zao zimo kwenye hiyo jumla. Spika Tulia

    READ MORE
  • Habari picha mawaziri na manaibu wakila kiapo mbele ya rais Samia .

    Habari picha mawaziri na manaibu wakila kiapo mbele ya rais Samia .0

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Jaji Jacob Casthom Mwatebela Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. leo tarehe 10 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Jaji Sam Mpya Rumanyika kuwa Jaji waREAD MORE
Translate »