• DKT. GWAJIMA ASIMAMIA AHADI ZA MIAKA 27 YA BEIJING.

    DKT. GWAJIMA ASIMAMIA AHADI ZA MIAKA 27 YA BEIJING.0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt Dorothy Gwajima amewataka Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa kukamilisha Maazimio ya Beijing ya miaka 27,  tangu Beijing iweke maazimio ya kuwa na kizazi chenye Usawa kwani ndio matamanio ya Mhe. Rais Samia.Aidha amewata Wajumbe wa Kamati hiyo ya Kitaifa ya kushauri na kuratibu utekelezaji

    READ MORE
  • Jamii kubwa ya watanzania inasumbuliwa na Marathi yasiyo ya kuambukiza.

    Jamii kubwa ya watanzania inasumbuliwa na Marathi yasiyo ya kuambukiza.0

    Maradhi yasiyo ya kuambukiza pamoja na kutotumia njia za uzazi wa mpango ni changamoto zinazo ikabili jamii kubwa ya watanzania Ameyasema hayo mkuu wa idara ya uuguzi kutoka chuo cha Zanzibar Univerity Sultan Khamis Muki wakatia walipofanya ziara na wanafunzi wa kada ya uuguzi katika Hospitali ya Wilaya ya Makundichi kwa ajili ya kutoa matibabu

    READ MORE
  • Bohari ya Dawa Wachukuliwe hatua waliohusishwa na tuhuma zilizoainishwa na CAG.

    Bohari ya Dawa Wachukuliwe hatua waliohusishwa na tuhuma zilizoainishwa na CAG.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Bohari ya Dawa (MSD) na kuagiza watu wote waliohusishwa na tuhuma za ubadhirifu zilizoainishwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wachukuliwe hatua. Mheshimiwa Majaliwa amesema hoja zote zilizotolewa katika ripoti ya CAG lazima zifanyiwe kazi na tayari Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanyia kazi hoja

    READ MORE
Translate »