Waziri wa afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Hospital zote nchini kuzingatia Mikataba ya utolewaji wa Huduma bora kwa wateja. Dkt.Gwajima aliyasema hayo wakati wa mafunzo ya kwanza ya huduma Bora kwa wateja Yaliyofanyika Mkoani Morogoro chini ya uongozi wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili. Alisema mikataba ya utoaji
READ MORENa Mwandishi Wetu, Dodoma Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, imetenga shilingi Bilioni 7.4 kwa mwaka wa fedha 2021/22 kwa ajili ya kuboresha Makazi ya Wazee nchini. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Dkt.
READ MORENa. WAMJW-St.Petersburg,UrusiWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Afya wa Urusi Mhe. Viktor Sergeevich Fisenko.Katika mazungumzo yao mawaziri hao wamejadili mambo mbalimbali yakiwemo ya ushirikiano katika sekta ya Afya na Maendeleo ya Jamii baina ya nchi hizo mbili. Dkt. Gwajima
READ MORE