Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama akizungumza na walimu wakuu, Maafisa Elimu Kata na Walimu wa Taaluma wa Shule zote wilaya ya Nyasa katika kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Kassim Majaliwa Uliopo Mbamba bay Sekondari katika kikao kazi Chenye lengo la kuboresha Utendaji kazi na kuinua taaluma Wilayani Nyasa. Na WMJJWM, Dar Es
READ MOREKibanda cha mlinzi katika Chuo cha VETA Uyui mkoani Tabora ambacho kimejengwa kwa gharama ya sh.milioni 11. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alikagua ujenzi wa Chuo hicho, Septemba 8, 2022 aliagiza TAKUKURU iwakamate waliosimamia ujenzi huo. Nyumba ya walimu wa Chuo cha VETA Uyui mkoani Tabora ambayo imekadiriwa kujengwa kwa sh, milioni 114 na hadi sasa imetumia
READ MORENa Heri Shaaban (Ilala ) MEYA wa Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam Omary Kumbilamoto, ameagiza Halmashauri ya Jiji hilo kufanya uchunguzi kwa watumishi wake waliosimamishwa katika mradi wa machinjio ya kisasa Vingunguti wafanyiwe uchunguzi wakibainika wachukuliwe hatua kwa kudaiwa kutumia madaraka yao vibaya . Meya Kumbilamoto aliyasema hayo Dar es Salaam Leo katika BARAZA
READ MORE