Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Kusini mwa Afrika,Bi.Victoria Kwakwa (kushoto) wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum. Rais wa Zanzibar na
READ MORENa Mwandishi Wetu-Dar es Salaam OFISI ya Taifa ya Takwimu Tanzania (NBS) imewaomba waandishi wa habari kupitia kalamu zao kuhamasisha Watanzania kuhusu zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linalotajariwa kufanyika Agosti 23, mwaka huu ambapo Maandalizi yake yamefikia zaidi ya asilimia 80. Afisa Masoko Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania (NBS),Andrew Punjila
READ MORESpika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akichangia mada kuhusu mwelekeo wa upatikanaji wa nishati ya uhakika, endelevu na inayojitosheleza katika Ukanda wa Kusini mwa Afrika wakati wa Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC – PF) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Bingu Jijini Lilongwe
READ MORE