- Habari, Kitaifa
- February 21, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga. Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia Februari 17, 2022. Lakini kutokana na ukubwa wa kazi na mahitaji ya kujiridhisha na baadhi ya
READ MORE- READ MORE
Umati wa waombolezaji wakiwa kwenye maziko ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es salaam (DRFA), Msanifu Kondo aliyezikwa leo Kisarawe 2, Kigamboni.
READ MORE