- https://youtu.be/HrK4Jx8kGA4 https://youtu.be/dk-NaJQzGJc https://youtu.be/I4H2BLTGhbQREAD MORE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako (kulia) akimkabidhi Meneja wa NSSF Mkoa wa Morogoro, Rose Meta (kushoto) tuzo ya ushindi wa jumla kwa Taasisi za Umma zinazotoa Huduma ya Hifadhi ya Jamii katika sekta binafsi. Rose amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu
READ MOREKampuni Namba moja nchini kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali Tigo Tanzania Leo Aprili 28 , 2023 imetangazwa ( Kwa mara ya pili sasa ) kama kampuni ya Mawasiliano ya simu namba moja nchini inayozingatia Usalama na Afya mahala pa kazi . Tigo wamekabidhiwa Tuzo hiyo na Mhe. Prof. Joyce Ndalichako Waziri wa Nchi ,
READ MORE