Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Tume ya Utumishi wa Waalimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 shilingi Trilioni 9.1. Akitoa maelezo kuhusu hoja za wabunge zilizojitokeza wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya
READ MORE- Habari, Kitaifa
- April 19, 2023
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu ameongoza kikao cha majadiliano kati ya ofisi hiyo na Wizara ya Kazi nchini Kenya kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika masuala ya uhamaji nguvu kazi, ukuzaji ujuzi kwa vijana, ukuzaji ajira na masuala mengineyo yanayohusu sekta ya kazi na ajira. Akizungumza Katibu Mkuu,
READ MORE- Dini, Habari, Kitaifa
- April 19, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na viongozi mbalimbali katika futari iliyoandaliwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Said Salim Al Sinawi iliyofanyika Hoteli ya Golden Tulip Airport leo tarehe 18 Aprili 2023, Mkoa wa Mjini Magharibi.
READ MORE